Social Icons

Our Events

THE LADIES WAKALI WA VITAFUNWA JIJINI DAR ES SALAAM‏ KATIKA MAONESHO PALE DAR LIVE

 
 Joan Joseph Massawe (pichani kulia)  na Angel Fabian Massawe wakiwa katika sehemu yao ya maonesho


 Pichani ni Angel na Joan wakiwahudumia wake wa viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mke wa Makamu wa Rais mama Asha Bilali aliyekuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa tamasha la Mwanamke na Akiba.
 Angela na Joan wakimhudumia mama Asha Bilali vitumbua hivi ambavyo leo navizungumzia.
 Hakika kila mama aliyepita katika banda hilo hakuacha kununua kitafunwa.
 Vitumbua hivyoooo kazi kwenu wana dada hawa wanapatikana Oysterbay barabara ya Bongoyo.  
MAWASILIANO ZAIDI KWA WENYE UHITAJI: 
+255 713 185065 AU +255 652 035652